×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais wa FKF Nick Mwendwa kusalia korokoroni akisubiri uamuzi kuhusu kushtakiwa kwake

29th November, 2021

Rais wa shirikisho la soka nchini aliyetimuliwa, Nick Mwendwa, ataendelea kuzuiliwa korokoroni hadi hapo kesho wakati mahakama itatoa uamuzi iwapo atajibu mashtaka ya kuhusika na ubadhirifu wa fedha za umma katika shirikisho la FKF au la.

Mwendwa alifikishwa mbele ya hakimu mkuu wa mahakama ya kusikiliza kesi za ufisadi Eunice Nyutu ambapo kiongozi wa mashtaka alitaka afunguliwe mashtaka ya kupora mali ya umma.

.
RELATED VIDEOS