x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wakaazi Nyama Villa wapata afueni baada ya mwenye ardhi kukubali kuwauzia ardhi hio | MBIU WIKENDI-2

26, Sep 2021

Wakaazi wa mtaa wa Nyama Villa eneo la Kayole waliobomolewa nyumba zao 2018 kutokana na kukosa hati miliki sasa wana afueni baada ya mmiliki halisi wa shamba hilo ambaye ni mfanyibiashara kukubali kuwauza vipande hivyo.  

Feedback