Jinsi mazishi yanafanywa kwa usiri mkubwa Garissa. Je, ni vifo vya korona?
6th May, 2021
Taarifa kuhusu vifo vya homa ya korona kaskazini mashariki ya Kenya, zinaashiria kwamba huenda ikawa vipo vifo kadhaa vinavyotokea bila kuripotiwa ila mazishi yanafanywa kwa usiri mkubwa.