×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Tuzo za Kiswahili : Watanzania waliwashinda Wakenya, tuzo ziliandaliwa mjini Nairobi

29th February, 2020

Washindi Wa Tuzo Tano Za Fasihi Ya Kiswahili Za Mabati Cornell Walitangazwa Katika Hoteli Ya Intercontinental Nairobi Katika Hafla Iliyohudhuriwa Na Wapenzi Wa Kiswahili Afrika Mashariki. Mshindi Wa Riwaya Mimi Na Rais Lello Mmassy Kutoka Tanzania Alijishindia Shilingi Laki Tano Za Kenya Huku Mkenya John Wanyonyi Akiwa Wa Pili Ambaye Alipata Laki Mbili Unusu. Katika Ushairi Mshindi Alikuwa Mohd Khamis Songoro Wa Zanzibar Na Wa Pili Akawa Rashid Othman Kutoka Visiwani Pemba. Tuzo Hizo Zimedhaminiwa Na Kampuni Y Safal Foundation Na Chuo Kikuu Cha Cornell Cha Marekani.

.
RELATED VIDEOS