Wafisadi Waonywa : Kamati ya LEBA yatoa msimamo wake dhidi ya Ufisadi
29th February, 2020
Kamati Ya Bunge Kuhusu Huduma Za Wafanyikazi Imewaonya Maafisa Wanaosimamia Mradi Wa Inua Jamii Kushiriki Ufisadi. Mwenyekiti Wa Kamati Hiyo Ali Wario Amesema Kuwa Mamilioni Ya Fedha Zimekuwa Zikipotea Kutokana Na Ufisadi