×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

MT KENYA BBI: Raila Odinga alikuwa kiongozi wa hafla ya BBI huko Meru | Mbiu Wikendi

29th February, 2020

Kiongozi Wa ODM Raila Odinga Amewaongoza Wansiasa Wengine Katika Kuhudhuria Mkutano Wa BBI Ulioandaliwa Katika Uwanja Wa Kinoru Meru. Wabunge Na Maseneta Pia Kutoka Katika Mrengo Unaoegemea Mrengo Wa Tangatanga Walihudhuria Hafla Hiyo. Raila Amesema Pana Haja Ya Dharura Kenya Kuandaa Kura Ya Maamuzi Na Kuifanyia Katiba Marekebisho Katika Baadhi Ya Sehemu Kwa Minajili Ya Kuwaunganisha Wakenya. Viongozi Musalia Mudavadi Na Kalonzo Musyoka Ni Kati Ya Wale Waliotoa Hotuba Zao

.
RELATED VIDEOS