×
× KTN NEWS News Business Sports Politics Features Live Schedule E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Al-shabaab yakiri kuhusika na shambulizi la Manda huku watu wakianza kuahama baadhi ya vijiji | MBIU

6th January, 2020

Idadi kuu ya wenyeji katika vijiji vya sehemu ya Manda karibu na kambi ya simba iliovamiwa jana, wanayahama makao yao. Hali hio imetokana na shambulizi la jana, haswa baada ya milio ya risasi kutapakaa, huku wakishuku huenda wanamgambo zaidi wako msitu wa boni tayari kuwaathiri. 

.
RELATED VIDEOS