Watanzania wametakiwa kusajili simu zao upya kwa kutumia Teknolojia mpya
3rd January, 2020
Watumiaji Wa Simu Tamba Nchini Tanzania Huenda Wakakosa Huduma Ya Simu Ifikapo Tarehe 20 Ya Mwezi Huu Wa Januari Endapo Watashindwa Kusajili Upya Laini Zao Za Simu Kwa Teknolojia Ya Alama Za Vidole.