×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Seneta Amos Wako apuuza wito wa Francis Atwoli | Mbiu ya KTN

3rd January, 2020

Seneta Wa Busia Amos Wako Ameungana Na Viongozi Wengine Kutoka Magharibi Ya Kenya Kupuuzilia Mbali Mkutano Uliopangwa Kufanyika Katika Uwanja Wa Bukhungu Mjini Kakamega. Wako Amedai Kwamba Katibu Mkuu Wa COTU Francis Atwoli Hajashauriana Na Viongozi Wa Eneo Hilo Kuhusu Mkutano Huo, Unaonuiwa Kuzungumzia Mwelekeo Wa Ripoti Ya Bbi. Ameelezea Hofu Yake Kwamba Mkutano Huo Huenda Ukatumika Kuwagawa Waluhya Hata Zaidi.

Kwa Upande Wake Francis Atwoli Amekanusha Vikali Madai Ya Bi Alice Wahome Akisema Kuwa Yeye Ni Kiongozi Wa Muungano Wa Vyama Vya Wafanyakazi Na Hana Majukumu Yoyote Katika Shughuli Za Serikali. Alizungumza Huko Nakuru.

 

.
RELATED VIDEOS