x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Baraza la wanahabari laonya polisi dhidi ya kutoa vitisho kwa wanahabari | Mbiu ya KTN

14, Dec 2019

p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} Baraza La Kutetea Maslahi Ya Wanahabari Nchini Limewataka Maafisa Wa Usalama Kaunti Ya Makueni Kukoma Kuwatolea Vitisho Waandishi Wa Habari Wanapoendelea Na Majuku Yao. Wakiongozwa Na Dinnah Ondari, Wameelezea Kuwa Kuna Uhuru Wa Uanahabari  Nchini Kenya Na Hivyo Wanahabari Wanafaa Kupewa Nafasi Ya Kufanya Kazi Yao Bila Kutishwa. Wito Huu Unajiri Mwezi Mmoja Baada Ya Mwanahabari Wa Shirika La Standard Eneo La Makueni Stephen Nzioka Kulazimika Kuhama Kaunti Hoy Baada Ya Kupokea Vitisho Kutoka Kwa Maafisa Wa Polisi. Hii Ni Baada Ya Nzioka Kuangazia Taarifa Ya Ufichuzi Namna Mfungwa Mmoja Alifariki Baada Ya Kuwa Mikononi Mwa Polisi Kwa Siku 3.

RELATED VIDEOS


Feedback