14th December, 2019
<style type="text/css">p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; line-height: 20.1px; font: 15.0px 'Microsoft Sans Serif'} </style>
Afisi Ya Mkurugenzi Mkuu Wa Mashtaka Ya Umma Imetangaza Kuwa Itabuni Hazina Maalum Ya Kuweka Pesa Na Mali Yote Iliyorejeshwa Baada Ya Kutwaliwa Na Serikali Kutoka Kwa Wafisadi Kuanzia Jumatatu Wiki Ijayo. Mkurugenzi Mkuu Wa Mashtaka Noordin Hajji Alisema Haya Hapo Jana Baada Ya Kuzuru Kaunti Za Meru Na Isiolo Kupata Maoni Ya Wakenya Kuhusu Vita Dhidi Ya Ufisadi Nchini. Mwanahabari George Maringa Anaarifu Zaidi.