x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

ANC yamtimua Malala katika chama | Mbiu Ya KTN

15, Nov 2019

Kamati Ya Masuala Ya Nidhamu Katika Chama Cha Amani National Congress, ANC,  Imempokonya Seneta Wa Kakamega Cleophas Malala Wadhifa Wake Kama Mwanachama Wa ANC Kwa Otuvu Wa Nidhamu Na Kutotii Sheria Za Chama. Mwenyekiti Wa Kamati Hiyo Yare Mohemmed Amesema Malala Alikiuka Sheria Za Chama Kwa Kumpigia Debe Mgombea Wa Kiti Cha ODM Kwenye Uchaguzi Mdogo Wa Kibra Uliokamilika Hivi Majuzi Kwa Kutumia Matamshi Yaliyomdunisha Mgombea Wa Chama Cha ANC, Eliud Owalo.  Kamati Hiyo Ya Nidhamu Imesema Itamualika Malala Mbele Yake Kwa Mahojiano Zaidi Kuona Iwapo Ana Tetesi Mbadala Za Kuzuia Chama Kumtimua Rasmi Na Hivo Kupoteza Nafasi Yake Kama Seneta

Feedback