10th December, 2018
Mwanamke mwenye umri wa miaka 26, katika Kaunti ya Kisumu Kijiji cha Kandalo ameiteketeza nyumba yake na kujitoa uhai pamoja na watoto wake wawili. Inaaminika kwamba mwanamke huyo alichukua uamuzi huo baada ya ugomvi wa kifamilia. Polisi wanachunguza kisa hicho.