×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Aliyekuwa afisa mkuu wa IEBC Chiloba ahojiwa| Mbiu ya KTN full bulletin sehemu ya pili

29th November, 2018

Aliyekuwa afisa mkuu mtendaji wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka IEBC, Ezra Chiloba hivi leo amehojiwa kwa undani na Kamati ya Bunge, ya  Kuchunguza Matumizi ya Fedha za Umma kuhusu jinsi zabuni ilitolewa ya kununua vifaa vya elektroniki kutoka kampuni ya Safran Morpho, kwa matumizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2017. Chiloba ameiambia kamati hiyo kwamba mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati alisema uongo alipoiambia kamati hiyo kwamba uamuzi wa kununua vifaa hivyo ulifanywa na Chiloba pekee yake bila kuwahusisha makamishina.

.
RELATED VIDEOS