×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kampuni ya sukari ya Transmara yafungwa

28th September, 2018

Huenda kampuni ya sukari ya Transmara iliyoko eneo la Kilgoris ikalazimika kufunga operesheni zake kufuatia madai ya kuharibu mazingira na kuchafua chemichemi za maji. 

Hii ni baada ya kamati ya kuangazia malalamishi ya mazingira kushuhudia uharibifu mkubwa unaoendelezwa walipozuru kampuni hiyo kutathmini hali baada ya malalmishi kutoka kwa wakaazi. 

.
RELATED VIDEOS