x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Familia ya Njenga Karume yashitisha mgogoro

27, Aug 2018

Familia ya mwendazake njenga karume sasa imebuni baraza la kusimamia mali ya mwanasiasa huyo mkongwe aliyeaga dunia mwezi februari  mwaka 2012. Familia ya karume imekuwa katika mgogoro mkali kuhusu urithi wa mali ya marehemu . Baraza hilo la mapatano limeondoa kesi zote zilizpo mahakamani na kuamua kuuza baadhi ya mali ya karume ili kulipa madeni.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback