×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waumini wa ACK Pokot wataka Dayosisi

27th August, 2018

Waumini wa kanisa la angilikana katika eneo la pokot magharibi wameandaa maandamano ya amani ili kushinikiza makao makuu ya kanisa hilo kuupa mji wa kapenguria hadhi ya dayosisi.

Wakibeba mabango wakristo hao waliandamana katika mji wa kapenguria huku wakiimba nyimbo za kulitaka kanisa hilo kuwapa dayosisi. Wanasema imepita miaka 24 sasa tangu wao kuanzisha mchakato wa kupewa dayosisi  na hadi kufikia sasa malilio yao hayajasikizwa na yeyeote licha ya wao kufanya hima kufungua makanisa katika kaunti ya Pokot magharibi.

.
RELATED VIDEOS