Magavana wakutana Makueni County kutathmini magatuzi
27th August, 2018
Ili kutathmini hatua zilizopigwa kwenye ngazi za uongozi kwenye serikali za kaunti, magavana wa kauntii zote wanakutana huko makueni kwenye kongamano maalum la kuzungumzia mapungufu na ufanisi wa tawala za kaunti.