×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ripoti ya IPSOS yapuuzwa Pokot

25th August, 2018

Baadhi ya viongozi kutoka Pokot wamekosoa vikali kura ya maoni ya shirika la IPSOS na kuhoji lengo kuu la kura hiyo lilikuwa ni lipi haswa kutokana na jinsi ilivyoangazia swala la ufisadi. 

Wakiongozwa na Gavana wa Pokot magharibi profesa John Lonyangapuo pamoja na seneta wa eneo hilo Samuel Poghisio viongozi hao walishangazwa na jinsi orodha inayokisiwa ni ya wafisadi ilivyotolewa. Sasa wanataka shirika hilo lichunguzwe.

.
RELATED VIDEOS