10th August, 2018
Wataalamu wamegundua kuwa maganda ya mayai yana viwango vikubwa vya virutubisho na madini aina ya kalshiamu. Wataalamu hao wanapendekeza kuwa watu wakome kutupa maganda ya mayai na badala yake kuyala ili kuongeza nguvu mwili. Je unaweza kufanya hivyo?