20th July, 2018
Ugonjwa wa kisukari ni tatizo kuu katika eneo la marigat kaunti ya Baringo. Ugonjwa huu umewafanya watu, watoto na pia watu wenye umri mkubwa wanougua kuungana ili kushauriana kila jumanne ya wiki ilikukabiliana na makali ya ugonjwa wa kisukari