×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbiu ya KTN: Juhudi za kutafuta ndege ya Fly Sax iliyopotea zingali zinaendelea

6th June, 2018

Juhudi za kutafuta ndege ya Fly Sax iliyopotea baada ya kutoka katika uwanja mdogo wa ndege wa Kitale zingali zinaendelea katika msitu wa njambini kaunti ya Nyandarua. Taarifa zinasema kuwa huenda ndege hiyo ilianguka katuika maeneo ya Kinangop. Mashirika mbalimbali yamo katika shughuli za pamoja kutafuta ndege hiyo. Maafisa wa halmashauri ya safari za anga, idara ya polisi, maafisa wa shirika la wanyamori na wadau wengine wanaendelea na juhudi hizo. 

.
RELATED VIDEOS