×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanaharakati Atty Owiso aliyetekwa nyara apatikana - Mbiu ya KTN

30th May, 2018

Tume ya kutetea haki za kibinadam nchini KNCHR  imelalamikia vitisho dhidi ya wanaharakati wanaopaza sauti zao kuhusiana na ufisadi nchini. Hii inafuatia kutekwa nyara  kwa  mwanaharakati Atty Owiso na watu wanaodaiwa kuwa maafisa wa usalama ambao hawakuwa wamevaa sare maalum. Waliomhoji kabla ya kumuachilia .

.
RELATED VIDEOS