x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Senator Malala drags Waiguru into latest NYS scandal, wants MCAs to impeach her

26, May 2018

Naibu kiongozi wa wachache kwenye bunge la Seneti, Cleophas Malala, ametoa mwito kwa wanachama wa kamati za bunge zinazohusika na masuala ya uhasibu kumuagiza gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru kufika mbele ya kamati hizo kujibu maswali kuhusu sakata ya NYS.  Malala anasema Waiguru anastahili kuwajibika kwa vile kashfa ya uporaji wa mali ya umma ilifanyika kwenye idara hiyo alipokuwa akihudumu kama waziri.  Aidha, Malala pia amewataka wabunge wa kaunti ya Kirinyaga kuwasilisha mswada wa kumuondoa Waiguru afisini.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback