19th March, 2018
Hatua ya mbunge wa Malindi Aisha Jumwa na baadhi ya wabunge wa chama cha ODM kumuidhinisha naibu rais William Ruto kugombea kiti cha urais wa mwaka wa 2022 haijapokelewa vyema na baadhi ya viongozi wa Kwale akiwemo mwakilishi wa kike Zuleikha Hassan ambaye pia ni mwanachama wa ODM.