Kauli ya Mahakama: Rawal na Tunoi wapoteza ombi ya kustaafu baada ya miaka 74
11th March, 2016
Mahakama ya rufaa imetupilia mbali ombi la jaji wa mahakama ya juu Kalpana Rawal kutaka Jaji Milton Makhandia kuondolewa kama mmoja wa majaji watakaosikiza kesi ya kustaafu kwake. Majaji hao wamekariri kuwa kuondolewa kwa jaji huyo hakutaathiri uamuzi wa kesi dhidi yake.