Msemaji wa rais mstaafu Kibaki akana kuwa Mama Lucy yuko salama
11th March, 2016
Ripoti kuwa mama Lucy Kibaki amelazwa hospitalini akiwa hali mahututi zimefutiliwa mbali na msemaji wa rais mstaafu Mwai Kibaki. Kwenye ujumbe wa msemaji huyo Ngari Gituku, mama Lucy alikuwa katika hospitali ya Nairobi kwa uchunguzi wa kawaida tu.