x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Hassan Joho amlaumu Marwa kwa masaibu yake

11, Mar 2016

Hatua ya kuondolewa kwa walinzi wa viongozi kutoka pwani ya Kenya kuanzia Gavana Joho wa Mombasa ,naye kingi wa kilifi na sasa mbunge wa mvita Abdulswamad Shariff Nassir kunazua tumbo joto miongoni mwa muungano wa cord. Serikali inalaumiwa kwa kuwakandamiza viongozi kutoka pwani ya kenya wamelalamikia hatua hio na kusema hilo ni kurejesha wakenya nyuma na kuhatarisha maisha yao.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback