×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mbiu ya KTN 11 Machi 2016 - Kilio cha Shebesh

11th March, 2016

Mwakilishi wa wake katika kaunti ya Nairobi Rachael Shebesh amelaumu kiasi kidogo cha pesa wanazopewa wawalkilishi wa wake kuwa sababu kuu inayowazuia viongozi hao kufanya maendeleo katika kaunti. Akizungumza katika mkutano wa kuamasisha wanawake kuhusiana na pesa hizi Kibra, Shebesh amesema kuwa licha ya wabunge kupewa kima cha milioni 100, hawajaweza kufanya maendeleo ya kutajika.
.
RELATED VIDEOS