x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Radio maisha yakita kambi TRM kusherehekea na wapendanao

12, Feb 2016

Mashabiki wa Radio Maisha hii leo walijumuika na watangazaji, wacheza santuri pamoja na wanamuziki wa bendi katika eneo la kibiashara la thika road mall hapa jijini Nairobi ambapo kipindi cha connect kilipeperushwa moja kwa moja kutoka huko. Wananchi walijumuika na watangazaji Mwende na Clemo na kujifurahisha kwa maandalizi ya siku ya wapendanao yaani valentines. Waliokuwepo walitunukiwa zawadi kama maua na vifurushi vya zawadi huku muziki ukipigwa na bendi maarufu ya hart-the band. Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya

RELATED VIDEOS


Feedback