Hali duni katika Shule ya msingi, kaunti la Budalangi
12th February, 2016
Tuangazie darubini letu katika sehemu ya Budalangi kaunti ya Busia ambako mwanahabari Voictor Ogale alijionea mambo katika safari ya kufika kwenye shule moja kwa jina la Bulwani. Katika shule ya Bulwani, walimu na wanafunzi wanatumia choo kimoja. Na isitoshe pia katika taasisi hio ya elimu,walimu na wanafunzi hupitia maisha magumu kweli kila siku kama alivyoona.
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya
Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya