×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Je, Kalonzo Musyoka ana ushawishi upi wa kisiasa na idadi ipi ya wafuasi na wapiga kura?

26th January, 2022

Baada ya Musalia Mudavadi kutangaza kujiunga na Naibu Rais William Ruto na hivyo kujiondoa katika muungano wa One Kenya Alliance, kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka sasa ndiye mwanasiasa anayetazamwa na wengi kwa sasa.

Wanachosubiri wengi ni kuona mkondo upi wa kisiasa ambao Kalonzo atauchukuwa. Je, atajiunga na vuguvugu la Azimio la Umoja la Raila Odinga ama ataamua kugombea mwenyewe urais katika uchaguzi mkuu wa agosti.

Na je, Kalonzo ana ushawishi upi wa kisiasa na idadi ipi ya wafuasi na wapiga kura?

.
RELATED VIDEOS