×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kalonzo aanda mkutano wa kisiasa kwake Yatta, akanusha madai ya kuunga mkono Raila Odinga

15th January, 2022

Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka, leo amepata uungwaji mkono kutoka kwa jamii yake ya Ukambani kuwania urais mnamo agosti 9 mwaka huu. Akikubali idhini hiyo, Kalonzo amesema hakuna kile kitakachomzuia kuwania kiti cha urais, akiahidi kuondoa ufisadi, kuunganisha taifa na kuleta maendeleo nchini. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu wa masuala ya siasa Chris Thairu, kalonzo pia alikanusha madai kwamba atamuunga mkono kinara wa ODM Raila Odinga ambaye sasa ana chomba kipya cha vuguvugu la azimio la umoja.

.
RELATED VIDEOS