×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kalonzo na Mudavadi wasema muungano wa OKA uko imara

4th December, 2021

Vinara wa muungano wa “One Kenya Alliance, Kalonzo Musyoka na Musalia Mudavadi wamesema muungano huo uko imara na kuwataka wakenya kupuzilia mbali kile walichodai ni propaganda zinayoenezwa na wapinzani wao kwa kusudio la kuwagawanya. Vinara hao wametaka tume ya uchaguzi kuendeleza majukumu yake ya kuandaa uchaguzi mkuu mwakani bila ya kushurutishwa na upande wowote. Viongozi hao walizungumza baada ya kuhudhuria maombi katika kanisa la Nairobi East Seventh Day, mtaa wa Lunga Lunga, Nairobi.

.
RELATED VIDEOS