×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Manusura Mgodini: Shughuli za kuwaokoa wachimba migodi Bondo yaendelea huku mmjoa akinusuriwa

4th December, 2021

Shughuli ya kuwaokoa wachimba migodi Abimbo kule Bondo, kaunti ya siaya bado inaendelea, huku ikiwa ni mmoja tu kati ya wanane walikuwa wamesalia katika shimo hilo akiokolewa akiwa hai. Livingston Odhiambo, mwanamume wa miaka thelathini na tisa na baba ya wanawe watatu akiokolewa usiku wa kuamkia leo, na wakati huo mwenzake akipatikana ameaga dunia. Shughuli ya uokozi unaendelea huku wasita wakiwa bado wamesalia katika mgodi huo wa dhahabu.

.
RELATED VIDEOS