×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanafunzi wa shule ya Kakamega kulipa faini ya Ksh 9823 kila mmoja kugaramia hasara ya moto

3rd December, 2021

Sasa ni rasmi kwamba wanafunzi katika shule ya sekondari  ya wavulana ya Kakamega watalipa faini ya shilingi elfu tisa mia nane ishirini na tatu kila mmoja kugharamia hasara ya moto ulioteketeza bweni na kuharibu mali. Jaji wa mahakama kuu mjini Kakamega, William Musyoka, aliagiza kwamba ni lazima ada zote na malimbikizi yote ya karo zilipwe kikamilifu ndipo wanafunzi waruhusiwe kuingia shuleni. Na anavyoripoti, Shadrack Mitty, tayari mkuu wa shule hiyo, Gerald Orina, amewatumia wazazi na walezi waraka wa kuwaarifu utaratibu wa shule kufunguliwa tena.

.
RELATED VIDEOS