x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Seneta Gideon Moi aelezea matumaini yake kuwa mahakama itatoa uamuzi bora kuhusu mchakato wa BBI

03, Aug 2021

Kwa mara nyingine tena Seneta wa Baringo Gideon Moi, ameelezea matumaini yake kuwa mchakato wa kurekebisha katiba kupitia BBI, utarejeshwa na mahakama ili manufaa yaliyokusudiwa kuwafaidi raia yasipotee. Gideon Moi amekitaja kile kipengee kuhusu idadi ya maeneo bunge na kupeleka pesa mashinani, kuwa chenye manufaa zaidi kwani raia angepata maendeleo kwa haraka. Aidha amemrai Rais Uhuru Kenyatta kuendelea kuimarisha uchumi ambao umeathirika vikalikutokana na janga la korona. Seneta huyo alikuwa akizungumza huko ngata Nakuru, katika hafla ya mazishi ya Willie Kibichy Kipchillat, mfanyabiashara aliyekuwa rafiki ya familia.

Feedback