.
19th June, 2021
Utata unaendelea kuzingira kutoweka kwa mtaalamu wa maswala ya usalama Mwenda Mbijiwe aliyetoweka mnanmo juni tarehe 12 baada ya kupanga safari ya kuelekea Meru kumtembelea mamake. Gari alilokuwa amekodisha Mbijiwe limepatikana katika shamba la kawaha eneo la Ruiru huku likiwa limeporwa baadhi ya vifaa vyake.