x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mahakama Kuu yatoa uamuzi wa kuzuia uchunguzi zaidi kuhusu mienendo ya majaji hao sita

16, Jun 2021

Mzozo uliozuka baada ya Rais Kenyatta kukataa kuidhinisha majina ya majaji 6 miongoni mwa 41 waliopendekezwa na tume ya JSC umechukua mkondo mpya baada ya mahakama kuu kutoa uamuzi wa kuzuia uchunguzi zaidi kuhusu mienendo ya majaji hao sita waliokosa kuidhinishwa na Rais kutokana na ukosefu wa uadilifu. Jaji James Makau akitoa uamuzi huo pia amezuia tume ya JSC kutekeleza ripoti ya Rais Kenyatta kuhusu majaji hao.

Feedback