x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wafugaji kuku Migori kunufaika iwapo pendekezo la kujengwa kwa kiwanda cha kuku litatekelezwa

01, Jun 2021

Wafugaji wa kuku kaunti ya migori huenda wakanufaika pakubwa iwapo pendekezo la kujengwa kwa kiwanda cha kuku katika kipindi cha miezi mitatu litatekelezwa. Kiwanda hicho kimetajwa kitaboresha uchumi wa wafugaji wa kuku na kuwatoa katika hali ya uchochole. Gavana wa Migori Zachary Obado amesema serikali yake imejitolea kuboresha maisha ya wakulima mashinani kupitia miradi ya aina hiyo.

RELATED VIDEOS


Feedback