x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Ligi kuu ya FKF: Matumaini ya KCB yaendelea kudidimia baada ya kurindimwa na Sofapaka

29, May 2021

Matumaini ya timu ya KCB kumaliza katika nafasi ya kwanza na kufuzu kucheza michuano ya klabu bingwa barani afrika yanaendelea kulowa maji. Hii ni baada ya timu hiyo kulazwa goli moja bila jibu na Sofapaka kwenye mechi ya ligi kuu iliyochezwa ugani Ruaraka Nairobi. Shuti la mbali la kiungo Lawrence Juma limewapa batoto ba mungu ushindi huo muhimu. Kwingineko Nairobi City Stars imelaza Kariobangi Sharks magoli mawili kwa moja.  

Feedback