x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Washukiwa wa ujambazi waivamia mitaa ya Kisauni Mombasa, watu kadhaa wajeruhiwa kwa panga

11, May 2021

Watu kadhaa wanaendelea kuuguza majeraha baada ya kuvamiwa na kukatwakatwa mapanga na kundi la kihalifu la vijana linaloaminika kuwa wakali wao usiku wa jumatatu. Ripoti kutoka vyombo vya kiusalama inakisia kuwa huenda Mombasa ikawa na makundi 140 ya kihalifu na kuna wasiwasi wa makundi haya kuongezeka taifa linapojiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao.

Feedback