×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jopo la Msasa IEBC: Makataa ya siku saba yatimia, LSK yatoa mchango wake wa mwanajopo

21st April, 2021

Makataa ya siku saba ya kupendekezwa kwa majina ya watu saba watakaoteuliwa kwenye jopo la kuwapiga msasa wawaniaji ukamishna wa IEBC imekamilika. Hii inafuatia tangazo la rais kuwa nafasi hizo sasa ziwazi. Hata hivyo kufikia jioni hii ni chama cha mawakili, LSK pekee kilichoweka jina la mteule wake wazi, tume ya huduma za bunge, PSC na muungano wa madhehebu zikisalia kimya. Tume ya IEBC imekuwa na makamishna watatu tu baada ya wanne kuondoka mwaka 2017 na 2018.

.
RELATED VIDEOS