x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kifaa cha Drone chapaa kwa Naibu Rais huku jirani raia muingereza apelelezwa kudadisiwa nia yake

30, Mar 2021

Maafisa wa kitengo cha kukabili ugaidi (ATPU) na kile cha ujasusi (DCI) watamhoji raia mmoja wa uingereza baada ya kifaa chake kinachopaa angani na kukusanya picha (Drone)  kupatikana nyumbani kwa Naibu Rais William Ruto katika eneo la Karen hapa Nairobi. Kwa mujibu wa kamanda wa polisi wa kaunti ya Nairobi Augustine Nthumbi, Hind Jeremy mwenye umri wa miaka thelathini na saba ambaye ni jirani wa Ruto anatarajiwa kuwaeleza makachero hao ni kwa nini kifaa hicho kilikuwa kikipaa juu ya nyumba ya naibu wa rais majira ya saa tisa alasiri siku ya jumatatu. Droni hiyo ilipatikana na kadi kadhaa za kuhifadhi taarifa ya matukio mengi, ambapo kwa sasa wapelelezi wanafuatilia matukio yaliyonaswa ili kubaini hatua za kuchukuliwa.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback