×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kituo cha kutunza watoto wanaodhulumiwa kimapenzi yajengwa Mombasa

2nd February, 2021

Pwani ya Kenya ni miongoni mwa maeneo yaliyoathirika pakubwa na visa vya dhulma na biashara haramu zinazolenga watoto…visa hivi vikichangiwa sana na mazingira ya utalii…na tangu ujio wa virusi vya korona visa vya kimapenzi kati ya watoto na jamaa zao au marika vilevile vimeongezeka…hii ni kwa mujibu wa leornard musembi ambaye ni afisa wa shirika la kesho Kenya linaloshughulika na masuala ya watoto nyanjani.

 

.
RELATED VIDEOS