x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Muthama na Murkomen watofautiana kuhusu pendekezo la kumleta Kalonzo katika chama cha UDA

26, Jan 2021

Wanasiasa wa chama cha U.D.A  wametofautiana kuhusu pendekezo la kumleta chamani kiongozi wa chama cha wiper Kalonzo Musyoka. Walikuwa katika kaunti ya Machakos walikopeleka kampeni za kiti cha useneta. Waligawanyika kimawazo, upande mmoja ukisema Kalonzo asiachwe nje kwenye mipangilio yao, huku wapo walidai kwamba Kalonzo hana nafasi kwenye siasa za mrengo wao.    

Feedback