x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mama mmoja afariki baada ya kutumbukia baharini pamoja na mwanae katika eneo la kibarani, Mombasa

23, Dec 2020

Mama mmoja mwenye umri wa miaka thelathini na tatu amefariki baada ya kutumbukia baharini pamoja na mwanae na gari walimokuwa wakisafiria katika eneo la kibarani kaunti ya Mombasa. Japo mwanae alinusurika kifo kwa kuogelea kifo cha Winnie Achieng bilashaka kinaleta kumbukumbu ya mkasa wa kivuko cha likoni hiyo mwaka jana ambapo mama Miriam Kighenda pamoja na mwanae walitumbukia baharini na kupatikana tu baada ya majuma matatu.

Feedback