.
25th October, 2020
Leo tarehe 25 mwezi oktoba ni siku ya kimataifa ya hamasisho kuwahusu watu wenye kimo kifupi. Siku hii inatumiwa kukabiliana na unyanyapaa unaowakumba mbilikimo. Nchini kenya idadi kamili ya mbilikimo haijulikani kwani kuna wale ambao wameratibiwa kama watu kamili ilhali wengine wakitengwa kama walio na ulemavu mfano katika sensa iliopita. Mwanahabari wetu wa ukanda wa pwani Tobias Chanji aliitembelea familia moja katika kaunti ya kilifi ambapo wanne wao ni wenye kimo kifupi.