×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kina mama na vijana kunufaika Nairobi na hazina ya shilingi milioni 50

16th September, 2020

Makundi ya kina mama pamoja na vijana kutoka pembe tofauti za Kaunti ya Nairobi yanatarajiwa kunufaika na zaidi ya Shilingi Milioni Hamsini zilizotolewa na Wizara ya Vijana na jinsia ili kuwainua kibiashara .Akizungumza kwenye hafla ilioandaliwa katika makao makuu ya shirika linaloshughulikia  maslahi ya watu wanaosihi na ulemavu APDK hapa Nairobi katibu mwandamizi katika wizara hiyo Rachael Shebesh amesema ufadhili huu utawasaidia akina mama pamoja na vijana kujiendeleza kiuchumi baada ya biashara zao kuathirika kutoka na janga la Korona. Mbunge wa Westlands Tim Wanyonyi vile vile amewataka akina mama kuwa mstari wa mbele kujisajili kwenye mashirika ya hazina na mikopo kwa ajili ya kujiendeleza katika shughuli za kibiashara

.
RELATED VIDEOS