×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mzozo wa Kijamii: Viongozi watoa wito wa amani baada ya mzozo kaunti ya Marsabit

12th June, 2020

Viongozi kutoka kaunti za marsabit na  wajir, wamekashifu

        vikali uhasama na mapigano ya  baina ya koo zinazoishi

        kwenye mpaka wa kaunti hizo, uliosababisha maauaji na wizi

        wa mifugo siku chache zilizopita wakizungumza jijini

        nairobi kwenye mkutano wa amani uliowaleta pamoja

        wabunge na magavana wa kaunti hizo mbili, magavana

        mohamed abdi wa wajir na mwenzake wa marsabit, mohamud

        ali, waliwataka polisi na wakuu wa usalama katika eneo hilo

        kuanzisha uchunguzi dhidi ya watu wanaoendeleza

            uchochezi miongoni mwa wakazi

.
RELATED VIDEOS